KESI YA KUTAPELI NA KUGUSHI YA MWENYEKITI UVCCM ARUSHA YAPIGWA KALENDA

sabaya akiteta jambo na wafuasi wake baada ya kuachiliwa kwa dhamana

Sabaya akitoka mahakamani akiwa na wafuasi wake

Mwenyekiti wa UVCCM Arusha Lengai Ole Sabaya amefikishwa mahakama ya hakimu mkazi Arusha nakusomewa mashtka mawili ikiwa ni kughushi kitambulisho cha usalama wa taifa pili ni kutumia kutapeli.

Hakimu anayesikiliza kesi hiyo Gwantwa Mwankuga amemuachia mtuhumiwa kwa dhamana ya watu wawili ambao kila mmoja alitakiwa kutoa shilingi milioni 3 na kesi imehairishwa hadi October 5 mwaka huu


EmoticonEmoticon