BELLE 9 KUJA KIVINGINE NA SHAURI ZAO

Akizungumza na E-Newz ya Eatv Belle 9 amesema kwamba sasa hivi Video nyingi zinafanana Location.
Belle 9 amesema,
Siwezi kuzitaja hizo video, sikupenda sasa hivi video itoke kwa kuwa sitaki ifanane na zingine ndio maana tunatumia muda mrefu kutafuta location ili iwe tofauti na video zingine na iwe video ambayo inaendana na wimbo.

Kazi zangu mashabiki wanazijua na kila ngoma inayotoka huwa kali zaidi ya ile na sidhani kama kuna msanii anaweza kuwa hivyo kama mimi.”


EmoticonEmoticon