USHER RAYMOND NA JUSTIN BIEBER DOLA MILLION 10 INAWAHUSU

Justin Bieber na Usher Raymond wamekutwa na shtaka na wametakiwa kulipa Dola million 10 baada ya kukopi Nyimbo ya Justin Bieber inayoitwa "Somebody to Love" iliyofanyika mwaka 2010.
Muandishi wa nyimbo anayeafahamika kama Mareio Overton na muimbaji Devin Copeland anafahamika kama De Rico, wana wimbo wenye jina kama hilo hilo na wanawashtaki kwa wizi wa jina hilo (Copyrights Violation).
Wanasema ngoma hiyo inayo saini ya wakati sawa, beat, chords sawa na mashairi kwenye wimbo wao, Reuters imeripoti.
“Baada ya kusikiliza Copeland na wimbo wa Bieber na Usher, tuna hitimisha kwamba viitikio vyao vimefanana” Jaji Pamela Harris aliiandikia mahakama ya rufani.
Kesi hiyo ilifutwa Machi 2014 na Jaji wa U.S District ambae alihisi mahakama haiwezi kuona wizi wowote uliofanyika, Lakini Harris alisema kwamba mashairi “somebody to Love” imeimbwa “sawa kabisa na melody.


EmoticonEmoticon