JACK WILSHERE HANA UHAKIKA KUCHEZA MSIMU WA 2012-2013





 




Kocha wa klabu ya Arsenal,Arsene Wenger amekiri yakwamba mchezaji majeruhi wa muda mrefu wa klabu hiyo Jack Wilshere hana uhakika wa kucheza msimu ujao wa 2012-2013.

      Kinda huyo mwenye umri wa miaka 20 kwa hivi sasa hajaichezea klabu yake mtanange wowote tangu mwaka 2011 mwezi wa 5 walipokutana na Fulham na kuumia ankle.


      Japokuwa kocha wa klabu hiyo Wenger kuwa na mashaka na mchezaji huyo lakini kocha wa timu ya Taifa kwa sasa Stuart Pearce baada ya kujivua gamba kwa Capelo baada ya kutoelewana na viongozi wa FA kwa kumvua ucaptain John Terry na kitendo hicho kumchukiza kocha huyo,amemjumuisha Wilshere kwenye kikosi cha Olympic.







EmoticonEmoticon