RC GAMBO ATOLEA UFAFANUZI RAMBI RAMBI


Mkuu wa mkoa wa Arusha Mrisho Gambo ametolea ufafanuzi kuhusu pesa ya rambi rambi ya wanafunzi waliofariki wa shule ya lucky vicenty ya jijini Arusha.

RC Gambo dunia  amesema amefurahi kuwasikia Meya wa jiji la Arusha na Mbunge Godbless Lema wakikiri kuwa hawafahamu lolote kuhusu utaratibu wa maafa yaliyotokea, na kuwaomba waendelee kuwa watulivu atatoa taarifa zote kwa wananchi juu ya rambi rambi. 

Gambo ametoa ufafanuzi huo kufuatia kauli ya meya wa jiji la Arusha Kalist Lazaro kumtaka atolee ufafanuzi juu ya rambi rambi hiyo


EmoticonEmoticon