WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AWASILI ARUSHA KUFUNGUA MKUTANO WA SITA WA WADAU WA NSSF

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Arusha,
Mrisho Gambo baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Arusha Oktoba
20, 2016 ambako alifungua mkutano wa sita wa Wadau wa NSSSF kwenye Kituo
cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC). Katikati ni Waziri wa
Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Jenista Mhagama. (Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu)


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Longido,
Godfrey Chongolo baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Arusha
Oktoba 20, 2016 ambako alifungua Mkutano wa Sita wa Wadau wa NSSF kwenye
Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC) . Kushoto ni Mkuu wa
Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo.


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiongozana na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Jenista Mhagama , Jenista Mhagama (kushoto) na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Arusha ambako alifungua mkutano wa Sita wa NSSF kwenye ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Arusha (AICC) Oktoba 20, 2016.


EmoticonEmoticon