SAMATTA UWANJANI LEO EUROPA LEAGUE

 
BAADA ya kufungwa mabao 2-0 na Standard Liege katika Ligi ya Ubelgiji Jumapili Uwanja wa Maurice Dufrasne mjini Liege.


Nahodha wa Tanzania,Mbwana Ally Samatta leo anatarajiwa kuiongoza tena KRC Genk katika mchezo wa kwanza wa Kundi F Europa League dhidi ya wenyeji, Rapid Viena nchini Austria.

SK Rapid Wien watakuwa wenyeji wa KRC Genk Uwanja wa Allianz, wakati katika mchezo mwingine wa kundi hilo,Sassuolo ya Italia watakuwa wenyeji wa Athletic Bilbao ya Hispania Uwanja wa Citta del Tricolore.






 Europa League - Group A
September 15
20:00
Feyenoord ? - ? Manchester United
20:00
Zorya ? - ? Fenerbahce


Europa League - Group B
September 15
20:00
APOEL Nicosia ? - ? FC Astana
20:00
Young Boys ? - ? Olympiacos


Europa League - Group C
September 15
20:00
Anderlecht ? - ? FK Qabala
20:00
Mainz 05 ? - ? Saint-Etienne


Europa League - Group D
September 15
20:00
AZ Alkmaar ? - ? Dundalk
20:00
Maccabi Tel Aviv ? - ? Zenit St. Petersburg


Europa League - Group E
September 15
20:00
Astra Giurgiu ? - ? Austria Wien
20:00
Viktoria Plzen ? - ? Roma


Europa League - Group F
September 15
20:00
Rapid Wien ? - ? Genk
20:00
Sassuolo ? - ? Athletic Bilbao


Europa League - Group G
September 15
22:05
Panathinaikos ? - ? Ajax
22:05
Standard Liege ? - ? Celta Vigo


Europa League - Group H
September 15
22:05
Braga ? - ? Gent
22:05
Konyaspor ? - ? Shakhtar Donetsk


Europa League - Group I
September 15
22:05
Nice ? - ? Schalke 04
22:05
Salzburg ? - ? FC Krasnodar


Europa League - Group J
September 15
18:00
Qarabag FK
? - ?
Slovan Liberec
22:05
PAOK Thessaloniki FC ? - ? Fiorentina


Europa League - Group K
September 15
22:05
Inter ? - ? Hapoel Beer Sheva
22:05
Southampton ? - ? Sparta Prague


Europa League - Group L
September 15
22:05
Osmanlispor FK ? - ? Steaua Bucuresti
22:05
Villarreal ? - ? FC Zuerich


EmoticonEmoticon