MAKAMU WA RAIS AWASILI JIJINI ARUSHA KWA AJILI YA MKUTANO WA KESHO

 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hasani akisalimiana na viongozi mbalimbali wakati alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro, tayari kwa ufunguzi wa mkutano wa SARPCCO EXTRA ORDINARY MEETING kesho Septemba 16, 2016 katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa AICC, Jijini Arusha,Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo.



Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hasani akiwa na mwenyeji wake Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo.


EmoticonEmoticon