FILAMU YA GRACE OF GOD KUZINDULIWA RASMI 25/9/2016 TRIPLE A ARUSHA

A TOWN MOVIE Inakuletea uzinduzi wa filamu mpya inayo faamika kwa jina "Grace of God" ambao utafanyika ukumbi wa BLUEFAME TRIPLE-A.

Uzinduzi huo utasindikizwa na show kabambe kutoka kwa wasanii mbalimbali kama Katarina wa karatu, Boy kitila,J Deal,Kibonge mdudu,Hd,Swahili funny,Dizzy Chafu,Lizinka,Loui & Lyzy Lunya na wengine wengi.

Kiingilio nunua copy moja ya CD ya GRACE OF GOD mlangoni kwa bei ya Tsh 7000/-tu na watu 100 wa mwanzo watapata Tshirt bure.

Ni siku ya Jumapili tarehe 25/09/2016 kuanzia saa 9:00 mchana mpaka 4:00 Usiku.

.................wote mnakaribishwa..............


EmoticonEmoticon