KIUNGO wa klabu ya
Manchester City Yaya Toure anaamini kuwa kikosi chao kinaweza kuvunja
rekodi ya mabao ya msimu katika Ligi Kuu nchini Uingereza. Kiungo huyo
mwenye nguvu amempa jeuri kocha Manuel Pellegrini juu ya uwezo wa
kushambulia unaoleta matumaini ya taji kwa kusema rekodi ya Chelsea iko
hatarini. Kocha Carlo Ancelotti akiwa na kikosi maridadi msimu wa
2009-2010 aliiwezesha Chelsea kufunga mabao 103 na kutwaa taji misimu
minne iliyopita. Na baada ya timu ya Pellegrini kufikisha mabao 34
wakiifunga mabao 6-0 Tottenham Hotspurs Jumapili, Toure amesema lengo
lao ni kuvunja rekodi hiyo.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
EmoticonEmoticon