Moshi Town ipo katika ramani ya muziki haswa wa kuruka madebe na vijana
hawa BLING B na SHAX wanadhihirisha hilo kwa kuwakilisha mji wa moshi
katika ngoma hii mpya ya NDEGE DUME, ikiw ni mkono toka noizmekah
Studios Sakina Arusha, chini ya producer Defxtro,kwa mawasiliano/mahojiano zaidi check nao kupitia +255 713 067 088
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
EmoticonEmoticon