Anajulikana zaidi kama "Amani" na hapa anakuja na kibao chake kipya "Haiwezekani"
ikiwa ni mtindo wa Rap/Hiphop juu ya mdundo wa Defxtro pande za
Noizmekah, wimbo huu ni mahususi kwa kuwaweka tahadhari watanzania wote
na hali ya udanganyifu inayoendelea kisiasa, Ugomvi wa kufikia hatua za
kuchafuana majina, vyama vya siasa kuandamana na hata raia wasio na
hatia kufariki katika fujo zinazo letwa na siasa, Amezungumzia pia sekta
ya elimu na afya vile vile ufujaji wa pesa za mlipa kodi na endelea
kusupport muziki wa Tanzania, kwa mawasiliano zaidi check na Amani
kupitia +255 759 518 286 ![]() |
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
EmoticonEmoticon