Kampuni ya Bia Tanzania (TBL),, leo wamekabidhi vifaa vya michezo kwa klabu hizo kwa ajili ya michuano ya Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati, Kombe la Kagame inayoanza kesho hadi Julai 28 mjini Dar es Salaam.
Shuhudia hafla hiyo ambayo ilifanyika makao makuu ya TBL, Ilala mjini Dar es Salaam ilivyokuwa…
![]() |
Kaimu Meneja wa Kilimanjaro Beer, Oscar Shelukindo akimkabidhi jezi Meneja wa Yanga, Hafidh Suleiman kushoto |
![]() |
Shelukindo kushoto akimkabidhi jezi Makamu Mwenyekiti wa Simba SC, Geoffrey Nyange 'Kaburu' |
![]() |
Wachezaji wa Simba, Paul Ngalema kushoto na Abdallah Juma kulia wakiwa na Athumani Iddi 'Chuji' wa Yanga katikati, kuonyesha mavazi ya klabu zao |
![]() |
Abdallah Juma na Ngalema |
![]() |
Chuji |
![]() |
Kaburu akumuelekeza mambo Shelukindo |
![]() |
Paparazzi kazini |
![]() |
Kaburu akinong'onezana na Meneja Vifaa wa klabu, Kessy kushoto |
EmoticonEmoticon