Wananchi hao wakiwemo waTanzania
walikusanyika katika viwanja vya Down Town Washington DC siku ya
Jumamosi June,2,2012 katika kuitikia wito wa kuunga mkono wanawake ambao
wanakabiliwa na ugonjwa wa saratani ya maziwa, utafiti na elimu dhidi
ya ugonjwa huo
Rais wa Jumuia ya waTanzania DMV Mh. Iddi Sandaly, wakwanza
kushoto, Waheeda Margaret Gathesha, Chief wa swahilivilla Abou Shatry,
Aunt Rehema, pamoja na Salma Jay Jay pia alikuwepo katika matembezi ya
kupigana na ujongwa wa saratani ya maziwa hapa Washington DC.
Wazawa wa kitanzania wanaoishi nchini marekani wakiwa katika matembezi
ya kupiga vita ogonjwa wa saratani ya maziwa mapema leo jumamosi
June,4,2011 ndani ya washington D.C nchini marekani.
Kina dada wakiwa katika matembezi ya kupiga vita ogonjwa wa saratani ya
maziwa siku ya Jumamosi June,2,2012 ndani ya washington D.C nchini
Marekani.
Warembo wa kiTanzania wakiwa mstari wa mbele katika mpango mzima wa kutimiza mwindo wa mile tatu
Mamia ya watu kutoka sehemu mbali mbali waliungana kwa pamoja katika
zowezi hilo la kuunga mkono wanawake ambao wanakabiliwa na ugonjwa wa
Saratani ya maziwa.
Mamia ya wananchi wakiwa katika matembezi ya Susan G.Komen. 2012! Down Town Washington DC
Team Tanzania baada ya kumaliza matembezi ya Susan G.Komen. dhidi ya
kupiga vita maradhi ya Saratani ya maziwa.
EmoticonEmoticon