Dionis Moyo(Director Manager Sunrise Radio) |
KUNA WATU AMBAO WAMEFUNGUA ACCOUNT ZA SUNRISE RADIO KWENYE FACEBOOK NA KUJIFANYA WANAFANYA KAZI SUNRISE RADIO...UONGOZI WA RADIO UMETOA UAMUZI KUWA WAFUNGE HIZO ACCOUNT HARAKA IWEZEKANAVYO KWANI RADIO INATAKIWA KUFUNGULIWA ACCOUNT YAKE HIVYO KAMA WW UNA ACCOUNT YA SUNRISE RADIO NA HUFANYI KAZI SUNRISE RADIO FANYA HIVYO KABLA HATUA ZA KISHERIA HAZIJACHUKULIWA...BY UTAWALA
Mwijage (Programme Manger Sunrise Radio) |
EmoticonEmoticon