BREAKING NEWS:



ALFONSI MAWAZO AKIHAMA CHAMA CHA CCM NA KUHAMIA CHADEMA

MARA BAADA YA HIYO JUZI KUJIUZULU KWA ALIYEKUWA MWENYEKITI WA UVCCM MKOA WA ARUSHA JAMES OLE MILYA NA KUHAMIA CHADEMA KISHA JANA KUFUATIWA NA KATIBU MWENEZI WA VIJANA WILAYA YA LONGIDO YOHANA LAIZER LEO HII DIWANI WA KATA YA SOMBETINI ALFONSI MAWAZO ATANGAZA RASMI KUHAMIA CHAMA CHA CHADEMA AKIWA HUKO DODOMA.
   
           DIWANI MAWAZO AMESEMA KUWA TAYARI AMEPOKELEWA NA VIONGOZI KADHAA WA CHADEMA WENGI WAO WAKIWA WABUNGE AMBAO WAMEONGOZWA KATIKA MAPOKEZI HAYO NA MWENYEKITI WA CHADEMA TAIFA,FREEMAN MBOWE.


EmoticonEmoticon