MAWAKILI ARUSHA WAANDAMANA KUELEKEA MAKAO MAKUU YA POLISI



Hatua ya kukamatwa na kufunguliwa mashtaka wakili mwandamizi na ofisa wa kituo cha sheria na haki za binadamu Arusha, Shilinde Ngalula kumechukua sura mpya baada ya Chama cha wanasheria Tanganyika ‘TLS’ wameungana kwa pamoja kulaani na kutembea kuelekea makao makuu ya jeshi la polisi Arusha kumuona Kamanda wa polisi Charles Mkumbo kwa kile wanachokiita ukiukwaji wa sheria na haki za binadamu unaofanywa na jeshi la polisi dhidi ya wakili mwenzao Shilinde Ngalula na makundi mengine.

Shilinde anadaiwa alikamatwa na jeshi la polisi kwa tuhuma za kwenda kuwasikiliza na kuwatetea watu waliokamatwa na polisi Arusha na akaunganishwa kwenye tuhuma zilizokuwa zikiwakabili watu hao. Rais wa chama cha mawakili kanda ya kaskazini, Modestus Akida amesema.




Taarifa zaidi kukujia endelea kupitia ukurasa huu...







EmoticonEmoticon