HII SI YAKUKOSA VALENTINE HII

 JD's Entertainment inakwambia kama una mume au mke na unampenda sana, kama una girlfriend au boyfriend na mnapendana kweli na kama uko na rafiki na uko tayari kwa chochote juu yake na atakama uko single lakini moyo wako umejaa mapenzi lakini hujui wapi pakuyapeleka,basi karibu sana isumba lounge (jollies club).
Wapendanao watazungumza,hadithi na safari za maisha yetu ya kimapenzi zitasikika,ni valentine hii ya tarehe 14/02/2014 pale pale isumba lounge zamani jollies.
Kiingilio ni 10000, karibu tusherehekee mapenzi kwani LOVE IS GONNA BE IN THE AIR.


EmoticonEmoticon