AUDIO/BIG DADY DON-MA LIFE

Akiwakilisha vema mkoa wa moshi na pia kundi zima la WestPasu, si mwingine ni rapper BigDaddy Don aka Malai Junior na wimbo brand new "Ma Life" ulorekodiwa Arusha, katika studio za Noizmekah chini ya Producer Defxtro, ngoma hii ni Hiphop yenye kionjo kidogo cha kuimba kutoka kwa mchizi mkali wa chorus kwa jina la Chozi,kwa mawasiliano/mahojiano zaidi na Big Daddy Don check naye kwa Simu nambari +255 763 302 950


EmoticonEmoticon