Huyu ni Naccri MC kijana aliyekulia Arusha na kukuzwa kipaji chake ndani
ya Tamaduni Music,hii ni singo ya kwanza toka kwenye project yake
ambayo anatarajia kuiachia mwishoni mwa mwezi novemba,santuri hiyo
itakua na mikwaju 10,na huu hapa ni wa kwanza unaokwenda kwa jina
"Niongeze Tena Nyingine" ukiwa umetengenezewa pande za Grandmaster
Records na M Lab,msimamizi akiwa John Blass
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
EmoticonEmoticon