AUDIO/K DOO FT CHABA-USIBONGE

Anafahamika km Amedeus aka K doo ni msanii mpya kutoka kundi la Watengwa hapa anakuja na kazi yake mpya inayokwenda kwa jina la USIBONGE akiwa amemshirikisha Chaba kutoka Watengwa pia,ni mkono wake John B kutoka studio za GrandMaster records pande za Arusha,K doo anahitaji sana sapoti yako wewe mdau na mpenzi wa HIP HOP Tz


EmoticonEmoticon