VIDEO/JAMBO SQUAD-TUKUNYEMA

TUKUNYEMA COVER
Baada ya kutisha na ngoma ya MAMONG'OO, JOGOO KICHAA na ngoma kibao kali Vijana wenye heshima kubwa Arusha, Tanzania na nje ya Mpiaka Haswa Nchini Kenya vijana toka Ardhi ya Mamong'oo Jambo Squard Machalii ya ARA (Arusha) Leo Official wameachia ngoma yao ya TUKUNYEMA AUDIO NA VIDO...
Ngoma imefanyika pale NOIZ MEKAH chini ya Producer Defxtro (DX) na Video pia Imesimamiwa na kufanywa na DX pia chini ya Kampuni mbili ambazo ni HOOD PIX na VMG ambazo zote zinatengeneza Video.

KWA INTERVIEW NA MENGINEYO KAMA SHOW MCHECK NIGGER C AU OD WA JAMBO SQUARD KUPITIA NAMBA ZIFUATAZO:-

NIGGER C  +255 653 610 249
OD               +255 762 164 241

KAMA UNATAMANI KUFANYA VIDEO AU NGOMA NA DX MCHECK HAPA PIA
PHONE NO. 0715 240 005

TUKUNYEMA  OFFICIAL VIDEO


EmoticonEmoticon