AUDIO/VANKING FT RENEZ-NIVUTE

Anakuja Kijana Vanking akiwa amemshirikisha mwanadada toka Uganda anayekwenda kwa jina Renez na wimbo wa "Nivute" ilosukwa pande za noizmekah studios Arusha, Ngoma ni mahadhi ya dancehall, kwa mawasiliano zaidi check na Vanking kupitia +255 713 367 162


EmoticonEmoticon