AUDIO/MECCA CHEKA FT G NAKO-SOMA

Wanakuja tena baada ya collabo heavy na Nakaaya -Darasa Huru,Si wengine bali ni "MeccaCheka" na track mpya kabisa iloundwa pande za NOIZ wakimshirikisha mkali toka Weusi mzee mzima G nako katika ngoma waloipa Jina "SOMA" Almando Mwiro & Almando Rizzy wkiwa ndio waasisi wa MeccaCheka Crew wana Mengi kwa Washabiki wa Muzika wa Muziki hapa Bongo na Duniani Kote,na kwa mawasiliano zaidi piga simu +255 763 941 893 au +255 715 652 878


EmoticonEmoticon