
Kampeni ya Fichua Maovu inayoendeshwa na Gpl inazidi kuibua mazito!
Kwa muda mrefu Risasi lilipokea malalamiko ya majirani katika nyumba moja iliyopo Temeke, jijini Dar es Salaam kuwa kuna danguro linalotumiwa na mabinti chini ya umri wa miaka 18 kwa ajili ya kuchuuza miili yao kwa wanaume huku baadhi wakiwa ni wasanii chipukizi wa filamu na muziki wanaohangaika kutoka kisanaa.
Story kamili baadae au tembelea Risasi (Global)
EmoticonEmoticon