Mkuu
wa Mkoa wa Arusha Mh. Magesa Stanslaus Mulongo akipokea heshima toka
kwa askari wa kikosi cha kutuliza ghasia cha mkoa wa Arusha ambao
waliandaa gwaride kwa ajili ya hafla ya makabidhiano ya pikipiki kwa
askari Polisi wa Tarafa waliopo katika wilaya mbalimbali za Mkoa huu.
Nyuma yake kushoto ni Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha Kamishna Msaidizi
wa Polisi (ACP) Liberatus sabas na Kamanda wa Kikosi cha Kuzuia wizi wa
Mifugo (STPU) Tanzania Bara Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Ibrahimu
Kilongo.
EmoticonEmoticon