WABUNGE WA YANGA WAKUBALI KICHAPO CHA GOLI 3-2 TOKA KWA WABUNGE WA SIMBA


Mbunge William Ngeleja akiingia dimbani kwenye mchezo wa leo uliofanyika kwenye dimba la taifa.

 
Benchi la wabunge wa Yanga.

 
Kikosi cha Simba.
 
Kikosi cha Yanga.


 
 
Mtanange baina ya wabunge hao ukiendelea.…
Wachezaji wa Yanga na Simba (Wabunge) wakiimba wimbo wa Taifa kabla ya mechi kuanza.
 
Mtanange baina ya wabunge hao ukiendelea.
 
Zitto Kabwe akitoa pasi.
PICHA ZOTE KWA NIABA YA GLOBAL PUBLISHER


EmoticonEmoticon