Francis Cheka (mwenye T-sheti nyekundu) akitoka ulingoni baada ya kushindwa kupambana na Kaseba.
Katika
hali ya kushangaza bondia Francis Cheka leo amemkimbia mpinzani wake
Japhet Kaseba baada ya kugoma kupigana dakika kadhaa kabla ya pambano
lao lilopangwa kufanyika leo uwanja wa taifa kwenye tamasha la
matumaini. Cheka akizungumza na waandishi wa habari alitoa sababu ambazo
kwa wengi zilionekana hazina mashiko - eti kwamba Kaseba sio saizi yake
hivyo hawezi kupigana na mambo mengine yasiyo na maana. Kwa taarifa
zaidi kuhus Cheka endelea kutembelea Kinkayatz
Cheka na wapambe wake wakiukimbia ulingo
EmoticonEmoticon