WATANZANIA TUJITOKEZE KUMSAIDIA MTOTO HUYU


Mtoto Anayefahamika kwa jina la Eneneza Maulidi, Mkazi wa Mtwivila Manispaa ya iringa Anahitaji msaada wa hali na Mali ili kuweza kufanikisha matibabu ya Kansa ya Ngozi inayomsumbua.
 
 Kama umeguswa na matatizo ya mtoto huyu ambaye ni taifa la kesho unaweza kuchangia chochote ulicho nacho unaweza kutuma chochote kupitia 
MPESA 0762 174573 Hii ni namba ya mama wa mtoto Roida Mhema.


EmoticonEmoticon